NEMC yaitoza Lake Oil faini ya bilioni 3.3 kwa kutozingatia utunzaji wa mazingira

Tanzania nchi ya ajabu sana yaani vituo vyote hivyo vinajengwa maana sio kituo ni vituo vinapata lincence ya biashara watu wa jiji au halmashauri wakagua vibali wanapita tu kimyaa leo wanaamka usingizini nani kajenga hivi bila vibali maana kama lingekuwa kuna kosa kubwa vingebomolewa lakini kupiga fine biashara iendelee ni kama kusema vibali vile sio muhimu ila ni vizuri kuwa navyo tu kuongeza ukiritimba. Hapa siwatetei Lake Oil lakini kuna watu walijenga sehemu sio wanawekewa red bomoa sasa na hawa wangewekewa bomoa maana sheria zimekiukwa au vibali hivi havina umuhimu wowote.
 
Kama kile cha pale Buguruni sokoni, watu kibao siku pakitokea moto au mlipuko sijui itakuwaje.
 
Hiyo faini ya bilioni 3 ni nyingi sana.
Kuna kampuni moja ya mafuta (sio giant sana) tulifanya nao kazi fulani, tukawataka walete bank statement ya miezi mitatu.
Gross total ya miezi mitatu haikufika bilioni 8.
Sasa unapompiga faini ya bilini 3, hiyo ni faida ya miezi mingapi?
 
Mkuu wewe ni mtaalamu elekezi wa mazingira ?
 
Lake oil ilikua above the law awamu zilizoita.
Mnakumbuka kisa Cha yule mhasibu mhindi waliyemla tiGO na kumpinga sana. Alishtaki kila mahali lkn alikua anaoneka Kama bwabwa Fulani mhindilicious
 
UCHELEWESHAJI MUDA MWINGINE UNACHANGIA NDIO MAANA RAISI WA AWAMU YA 5 ALIKUWA ANAHIMIZA WATU WAJENGE HUKU WANAFATILIA TARATIBU ZINGINE KUTOKANA NA UCHELEWESHAJI
 
Hii kampuni inaitwa Petrol Africa wako makini sana, vituo vyao ni high quality +Good service
Hawajaanza kujenga muda mrefu ,ila kweli vituo vyao ni quality, nimeoenda rangi yao ya kijani imepandeza sana
 
Nawajua vituo vyao havijaenea sana wako bunju na morogoro road pia kuna maeneo wana vituo vyao!
Saa hizi wanamalizia kituo chao masasi, kama kawaida kimependeza na kitaamsha muonekano wa mji huo ,at least watapata supermarket
 
Wametoka kwenye bar ameamia kwenye petrol station
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…