Roving Journalist
JF Roving Journalist
- Apr 18, 2017
- 5,352
- 15,876
Hata huku Dodoma Kuna kero hiyo,Sehemu Inaitwa Block F_Kisasa!Baraza La Taifa La Hifadhi Na Usimamizi Wa Mazingira (NEMC) Kupitia Kwa Martha Kawishe Ambaye Ni Kaimu Meneja Mawasiliano Na Uhusiano Kwa Umma Amesema NEMC Inajukumu La Kusimamia Uzingatiaji Wa Sheria Za Mazingira, Kufanya Ukaguzi Na Kuratibu Utekelezaji Wake.
Martha Kawishe Ameeleza Haya Tarehe 17 June 2026 Mbele Ya Waandishi Wa Habari Katika Ofisi Za Baraza Hilo Jijini Da es salaam.
Aidha, Waendeshaji Wa Biashara, Viwanda, Maeneo Ya Burudani, Nyumba Za Ibada, Shughuli Za Ujenzi Wanawajibika Kuhakikisha Shughuli Zao Zinafanyika Kwa Kuzingatia Viwango Vya Kelele Vilivyowekwa Kisheria.
Pia, Amesema Wananchi Nao Wanapaswa Kushiriki Kwa Kutoa Taarifa Za Changamoto Za Mazingira Kwa Mamlaka Husika Na Kuzingatia Sheria Zilizowekwa.
Pia soma:
~ Kero ya Kelele za kanisa katikati ya makazi ya watu. Ni Kigamboni darajani mtaa wa Nyerere karibu na Daraja la Nyerere
~ Kujengwa kanisa la kilokole hapa Mwenge kwenye makazi ya watu, Mkurugenzi Halmashauri kuna kitu, Takukuru, NEMC amkeni
Waanze kwanza na makeleke ya Kariakoo, Karume, Buguruni, Mbagala, Mbezi Mwisho pale, vile ving'ora vya machina na wafanya biashara ni hatari sana na vinapuliza muda woote 12/7Baraza La Taifa La Hifadhi Na Usimamizi Wa Mazingira (NEMC) Kupitia Kwa Martha Kawishe Ambaye Ni Kaimu Meneja Mawasiliano Na Uhusiano Kwa Umma Amesema NEMC Inajukumu La Kusimamia Uzingatiaji Wa Sheria Za Mazingira, Kufanya Ukaguzi Na Kuratibu Utekelezaji Wake.
Martha Kawishe Ameeleza Haya Tarehe 17 June 2026 Mbele Ya Waandishi Wa Habari Katika Ofisi Za Baraza Hilo Jijini Da es salaam.
Aidha, Waendeshaji Wa Biashara, Viwanda, Maeneo Ya Burudani, Nyumba Za Ibada, Shughuli Za Ujenzi Wanawajibika Kuhakikisha Shughuli Zao Zinafanyika Kwa Kuzingatia Viwango Vya Kelele Vilivyowekwa Kisheria.
Pia, Amesema Wananchi Nao Wanapaswa Kushiriki Kwa Kutoa Taarifa Za Changamoto Za Mazingira Kwa Mamlaka Husika Na Kuzingatia Sheria Zilizowekwa.
Pia soma:
~ Kero ya Kelele za kanisa katikati ya makazi ya watu. Ni Kigamboni darajani mtaa wa Nyerere karibu na Daraja la Nyerere
~ Kujengwa kanisa la kilokole hapa Mwenge kwenye makazi ya watu, Mkurugenzi Halmashauri kuna kitu, Takukuru, NEMC amkeni
Huko ndo walipoanziaWaanze kwanza na makeleke ya Kariakoo, Karume, Buguruni, Mbagala, Mbezi Mwisho pale, vile ving'ora vya machina na wafanya biashara ni hatari sana na vinapuliza muda woote 12/7