LGE2024 Nenda kajiandikishe

LGE2024 Nenda kajiandikishe

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Umejiandikisha kweli??? Mbona hakihitajiki chochote zaidi ya majina matatu na umri....
Tayari. Nimejiandikisha. Nasubiri siku ya kuchagua kiongozi nitakaye muona anafaa.
 
Juzi nilienda kujiandikisha kwa ajili ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa. Ni muhimu kama kijana kuhakikisha unatumia haki yako ya msingi kumchagua kiongozi bora anayemtaka atakaye hakikisha maendeleo ya jamii na nchi kwa ujumla.

Kulalamika mwisho 2024.
Wekeni digital nitapiga kura.

MARA YA MWISHO 1995....kwa Hayati Mkapa,baada ya hapo sifanyi ujinga huo

WIZI MTUPU.
 
Back
Top Bottom