Moo Click
JF-Expert Member
- Feb 18, 2015
- 3,495
- 3,236
Kuna jamaa angu mmoja aliambiwa zima taa sasa mshkaj alikua Pro wa izi kazi si aka stuka mmh kuna nn mpaka nizime taa kumkomaliza kumbe alikua na mkanda wa jeshii..Hello friends.
Ukiachana na "Nenda kazime taa" ni motivational words gani umezisikia kutoka kwa mwanamke.
Naanza mimi..
2. Nishukie wapi
3...
Karibuni