"Nendeni mkawapige wachezaji wa Simba". Hii kauli imekaa kijinai

Keynez

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2007
Posts
3,809
Reaction score
6,948
Sina interest sana ya kukaa kuzungumzia mipira hasa ya Simba na Yanga, matimu ambayo bila aibu yamewasaliti wananchi wa Tanzania ambao ndiyo supporters wao wakubwa. Ila kuna jambo moja nimeliona nimeona vyema nililete mbele yenu.

Kuna huyu mzee, sijajua ni kiongozi wa klabu ya Simba au ni Polisi, alikuwa ameambatana na Mwenyekiti wa Simba Murtaza Mangungu maeneo ya nje ya uwanja wa Mkapa siku ya leo baada ya mechi dhidi ya Esperance.

Huyu mzee alionekana na kusikika katika video akihamasisha mashabiki wa Simba kwenda kuwapiga wachezaji wa Simba.

Sina uhakika sheria za jinai zinasemaje ila nadhani alichosema kinaweza kuwa ni kosa kisheria.

Nimeambatanisha video.

Huyo ni wale Makomandoo njaa wa Simba, na chawa mkubwa wa Sultan Mangungu of Msovero.

Alisema hivyo kumaanisha kwamba Mangungu hana kosa kwa matokeo ya jana, wenye makosa ni Wachezaji waliokuwa wakicheza. Hivyo kama kupigwa,wapigwe Wachezaji wa Simba.

Ni utetezi wenye mantiki kwa upande mmoja, lakini kwa upande mwingine ni ushuzi mtupu. Mashabiki wa Simba tunajua tatizo ni zaidi ya ndani ya uwanja, bali nje ya uwanja.

Ukitaja ujue hilo fuatilia nyuzi za wasioipenda Simba zinazowekwa hapa jukwaani kabla ya mechi. Watu wanakuhakikishia kuwa Simba anafungwa goli kadhaa, na inakuwa hivyo hivyo. Sometimes wanajiexpose kuwa "ule uwanja tulishauharibu, ndo maana tukahamia Zanzibar. Simba hatokuja kupata matokeo yoyote ya maana pale". Vita aliyonayo Simba nje ya uwanja ni kubwa sana.
 
Kitendo cha huyo muhuni kutoa maneno yale mbele ya Mangungu halafu Mangungu hajakemea pale pale au hata mpaka sasa ni sababu tosha ya kutofaa kuwa kiongozi wa hiyo klabu.

NB. Ni wazi Simba inapigwa vita nje ya uwanja na kuna watu ndani ya klabu wanatumika kufanikisha hayo.
 
Ukitaja ujue hilo fuatilia nyuzi za wasioipenda Simba zinazowekwa hapa jukwaani kabla ya mechi. Watu wanakuhakikishia kuwa Simba anafungwa goli kadhaa, na inakuwa hivyo hivyo. Sometimes wanajiexpose kuwa "ule uwanja tulishauharibu, ndo maana tukahamia Zanzibar. Simba hatokuja kupata matokeo yoyote ya maana pale". Vita aliyonayo Simba nje ya uwanja ni kubwa sana.

Hizo ni tambo za utani wa Simba na Yanga unachukulia serous kuwa sababu ya Simba kufanya vibaya ni uwanja kufanyiwa ushirikina, mbona huko ugenini unapata tabu? Mashabiki wa Simba hawajui timu yao ina matatizo gani
Kundi lingine mangungu
Kundi lingine wachezaji
Kundi lingine mwekezaji
Kundi lingine kocha
Kundi lingine misumari kwa wachezaji
Kundi lingine misumari uwanja wa Mkapa

Ni ngumu sana kutatua matatizo kama hamna kauli moja juu ya matatizo ya timu yenu
 
Mkiambiwa darasani muandike essay kuhusu 'Factors leading to soil erosion in Tanzania' mtaandika point moja wote?
 
Hebu uwe na akili basi. Karne hii unaamini uwanja kulogwa?
Huyo ni wale Makomandoo njaa wa Simba, na chawa mkubwa wa Sultan Mangungu of Msovero.

Alisema hivyo kumaanisha kwamba Mangungu hana kosa kwa matokeo ya jana, wenye makosa ni Wachezaji waliokuwa wakicheza. Hivyo kama kupigwa,wapigwe Wachezaji wa Simba.

Ni utetezi wenye mantiki kwa upande mmoja, lakini kwa upande mwingine ni ushuzi mtupu. Mashabiki wa Simba tunajua tatizo ni zaidi ya ndani ya uwanja, bali nje ya uwanja.

Ukitaja ujue hilo fuatilia nyuzi za wasioipenda Simba zinazowekwa hapa jukwaani kabla ya mechi. Watu wanakuhakikishia kuwa Simba anafungwa goli kadhaa, na inakuwa hivyo hivyo. Sometimes wanajiexpose kuwa "ule uwanja tulishauharibu, ndo maana tukahamia Zanzibar. Simba hatokuja kupata matokeo yoyote ya maana pale". Vita aliyonayo Simba nje ya uwanja ni kubwa sana.
I
 
Back
Top Bottom