Kitendo cha huyo muhuni kutoa maneno yale mbele ya Mangungu halafu Mangungu hajakemea pale pale au hata mpaka sasa ni sababu tosha ya kutofaa kuwa kiongozi wa hiyo klabu.Huyo ni wale Makomandoo njaa wa Simba, na chawa mkubwa wa Sultan Mangungu of Msovero.
Alisema hivyo kumaanisha kwamba Mangungu hana kosa kwa matokeo ya jana, wenye makosa ni Wachezaji waliokuwa wakicheza. Hivyo kama kupigwa,wapigwe Wachezaji wa Simba.
Ni utetezi wenye mantiki kwa upande mmoja, lakini kwa upande mwingine ni ushuzi mtupu. Mashabiki wa Simba tunajua tatizo ni zaidi ya ndani ya uwanja, bali nje ya uwanja.
Ukitaja ujue hilo fuatilia nyuzi za wasioipenda Simba zinazowekwa hapa jukwaani kabla ya mechi. Watu wanakuhakikishia kuwa Simba anafungwa goli kadhaa, na inakuwa hivyo hivyo. Sometimes wanajiexpose kuwa "ule uwanja tulishauharibu, ndo maana tukahamia Zanzibar. Simba hatokuja kupata matokeo yoyote ya maana pale". Vita aliyonayo Simba nje ya uwanja ni kubwa sana.

Mkiambiwa darasani muandike essay kuhusu 'Factors leading to soil erosion in Tanzania' mtaandika point moja wote?Hizo ni tambo za utani wa Simba na Yanga unachukulia serous kuwa sababu ya Simba kufanya vibaya ni uwanja kufanyiwa ushirikina, mbona huko ugenini unapata tabu? Mashabiki wa Simba hawajui timu yao ina matatizo gani
Kundi lingine mangungu
Kundi lingine wachezaji
Kundi lingine mwekezaji
Kundi lingine kocha
Kundi lingine misumari kwa wachezaji
Kundi lingine misumari uwanja wa Mkapa
Ni ngumu sana kutatua matatizo kama hamna kauli moja juu ya matatizo ya timu yenu
IHuyo ni wale Makomandoo njaa wa Simba, na chawa mkubwa wa Sultan Mangungu of Msovero.