Neno "Afande" kwenye kamusi ya Kiswahili

Neno "Afande" kwenye kamusi ya Kiswahili

oluku

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
350
Reaction score
71
Jaman leo nmecheka mno baada ya kuona maana ya neno afande...."mwanaume anaelawiti wanaume wengine" kazi kwenu maafande
 
Nilisoma hili neno kwenye kamusi wakati nipo secondary!!

Nilikua kamusi yangu imeniongopea!!
 
Kuna maana moja iliyowekwa hapo au?Neno moja katika lugha linaweza kuwa na maana zaidi ya moja
 
mkuu nahisi aliyeitunga hyo kamusi ni mgambo
 
Waswahili walitohoa neno afande kutoka neno la kituruki effendi neno lenye maana ya cheo fulani katika jeshi la askari wa kituruki.Jeshi la kijerumani la afrika mashariki (German East Africa) lilitumia askari wa kituruki katika vita vilivyopiganwa Afrika Mashariki na neno effendi likatumika sana.
 
sawa!ila mtoaji mada amezungumzia maan kwenye kamusi.asante kwa kuniongezea kitu hapo
 
Back
Top Bottom