Lizo mkristu
Member
- Oct 31, 2019
- 75
- 95
Ndio tena inamaana zaidi kuliko kusema akili mnemba(Neno mnemba halipo sawa)au unataka tuseme akili sanifu hapo waonaje..??
haya iteni hivyo sasa mjadala ufungwe tukalale tusichoshane vizazi..😂Ndio tena inamaana zaidi kuliko kusema akili mnemba(Neno mnemba halipo sawa)
Hili limekaa sawa sana.Ndio tena inamaana zaidi kuliko kusema akili mnemba(Neno mnemba halipo sawa)
Hahahaaaahaya iteni hivyo sasa mjadala ufungwe tukalale tusichoshane vizazi..[emoji23]