Neno Akili Mnemba ni tafsiri sahihi ya Artificial Intelligence?

Neno Akili Mnemba ni tafsiri sahihi ya Artificial Intelligence?

Lizo mkristu

Member
Joined
Oct 31, 2019
Posts
75
Reaction score
95
Neno artificial intellency linaleta tafsili tata haswa kwa wataalamu wetu wa lugha ya kiswahi na viongozi wa serikali maana wengine husema ni akili bandia na wengine husema akili mnemba.

Sasa, mbona neno mnemba haiendani kwenye artificial intellegency?
 
au unataka tuseme akili sanifu hapo waonaje..??
 
Ndio tena inamaana zaidi kuliko kusema akili mnemba(Neno mnemba halipo sawa)
Hili limekaa sawa sana.
Hawa wanaotunga haya maneno muda mwingine wanakurupuka tu na kuweka neno ambalo halibebi uzito au maana halisi ya neno husika.
 
Back
Top Bottom