.. Neno...Bao..

Tresor Mandala

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2010
Posts
47,397
Reaction score
101,204
Neno..kupiga/kuwapiga/kumpiga bao

A. kuwapiga bao = kuwafunga au kuwazidi ujanja
B. kupiga bao = kufunga kwenye mechi ya mpira
C. kumpiga bao = kumpiga mtu kofi

NENO moja ...maana kibao!!!
 
umemaliza maana zote.....?
 
Leo umepiga mabao mangapi au umepigwa bao ngapi?
 
Leo leo mtu anahadithia ofisini eti amempiga bao tano ameniudhi kweli
 
Namaanisha kama wewe ni gori kipa basi umepigwa magori mangapi?​
  • Mie mshambuliaji nimekupiga Bao 3 bila....yaan hat trick
 
Mie hapa hata sielewi mnajalili mabao gani hapa!embu ngoja nifike hapo mbele kwanza lol.
 
Mabao mengine mpaka maji yanaruka(pwa pwaa pwaaa) usiombe uwanja uwe na maji...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…