Neno gani la kwanza utamwambia ukikutana nae!!!!!??????????

Neno gani la kwanza utamwambia ukikutana nae!!!!!??????????

nitamwambia mbona amekaa uchi? nitamshauri akavae nguo kwani uzuri sio kukaa uchi!!
 
Nitamuuliza habari za kuzimu? umewezaje kutoroka huko?
 
Ray B, kama umeshaoa kama mimi usiwajaeribu hawa. Walahi unaweza ukasahau njia ya kurudi kwako.

Hivi vikabila vya chini chini visivyosikika hivi, we acha tu!!!!!!!!!!!!!

HA ha ha hapo umniwacha hoi, ni rasilimali yao hiyo
 
Haaaahaaa akitaja in terms of UsDollar na ndio kidume umejaza mikaratasi yako mfukoni utafanyeje? wee mwimbie tu ule wimbo...ya nini malumbano, ya nini maneno, najiweka pembeni naepusha msongamanooooooo!!


Haaaaahhaaa!!! dah nimependa hiyo verse, nadhani hata mimi ningekutana nae ningelishuka lisongi hilo!!!! maaana duh!!!
 
Nitamwambia nenda kavae nguo huko, au nikikubaka utanilaumu?.....
 
Back
Top Bottom