Neno gani la siri(password ) gumu ulilowahi kutumia?

Neno gani la siri(password ) gumu ulilowahi kutumia?

haszu

JF-Expert Member
Joined
Oct 10, 2017
Posts
978
Reaction score
2,313
Kuna moja nilichange usiku , kuamka asubuhi nimeisahau,

Hii ni moja ya password zangu

</h.b.s.z2[zuu&h]%_mk13njb910hvg731asdf12!?21>

Kuanzia herufi ya kwanza hadi ya mwisho ni story kamili, hazijakaa kihasara hasara

kma unakichwa cha bata usiige
 
="Nyani Ngabu, post: 24630782, member: 188"]Yangu ni ‘nyaningabu’
duuu hii ni weak, kma mgonjwa yuko theater
 
Back
Top Bottom