Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bila shaka hiyo ni Google accountNakumbuka sehemu nikiingia, harafu nikisahau password naulizwa hata kama ipo ninayoikumbuka hata kama ina miaka kumi niiweke ili wahakikishe kuwa ni mimi mhusika na wanipe niliyosahau.
Hivyo kutajataja password za zamani inatisha!
Hapana mkuu. Kuna site nilikuwa nimejiunga kibaya zaidi nilikuja kubadili password na niliyoweka mpya nikasahau herufi ya mwisho. Nilihangaika sana.Bila shaka hiyo ni Google account
Mi nilibadili katk nokia toch sikua na optionHapana mkuu. Kuna site nilikuwa nimejiunga kibaya zaidi nilikuja kubadili password na niliyoweka mpya nikasahau herufi ya mwisho. Nilihangaika sana.
Ikabidi niwaandikie email, hapo napo kukawa na masharti kibao.
Nikarudishwa tena kwenye account yangu, na ndipo nilipoambiwa niingize password ya mwanzo.
Bahati nzuri nilikuwa nimeandika kwenye diary na ni ya miaka mingi.
Baada ya hapo ndio nikatumiwa password yangu.
hata mimi ila naona kama nianze na mimi nione inakuwajeSijawahi kuwaza kuweka password kwenye simu
maarifa napenda signature yakoHats pin za kwa bank wangeongeza wigo Wa Pin.
Huna matumizi mengine kama email hasa notification za email (kwa email za kiofisi kama umeajiriwa ama email za kibiashara)...mie hapo tu ndio sababu iliyonifanya niweke pin.Sijawahi kuwaza kuweka password kwenye simu
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji125] [emoji125]yangu ni hii "k2kitamKu.mavyakulambwembwetu"