Neno gani la siri(password ) gumu ulilowahi kutumia?

Nakumbuka sehemu nikiingia, harafu nikisahau password naulizwa hata kama ipo ninayoikumbuka hata kama ina miaka kumi niiweke ili wahakikishe kuwa ni mimi mhusika na wanipe niliyosahau.

Hivyo kutajataja password za zamani inatisha!
Bila shaka hiyo ni Google account
 
Nyie ndio wale wale wa kuhack account za watu,mkikwama kwenye password mnawaomba wenyewe wa wape kijanja
 
Bila shaka hiyo ni Google account
Hapana mkuu. Kuna site nilikuwa nimejiunga kibaya zaidi nilikuja kubadili password na niliyoweka mpya nikasahau herufi ya mwisho. Nilihangaika sana.
Ikabidi niwaandikie email, hapo napo kukawa na masharti kibao.
Nikarudishwa tena kwenye account yangu, na ndipo nilipoambiwa niingize password ya mwanzo.
Bahati nzuri nilikuwa nimeandika kwenye diary na ni ya miaka mingi.
Baada ya hapo ndio nikatumiwa password yangu.
 
Hats pin za kwa bank wangeongeza wigo Wa Pin.
 
Mi nilibadili katk nokia toch sikua na option
 
Sijawahi kuwaza kuweka password kwenye simu
Huna matumizi mengine kama email hasa notification za email (kwa email za kiofisi kama umeajiriwa ama email za kibiashara)...mie hapo tu ndio sababu iliyonifanya niweke pin.
 
Passward nayo tumia ni moja, na naitumia kufungulia
sim,
lain ya sim,
ATM,
Milango ya nyumba,
Pc
All social network a/c

Sasa sijui kwanini niiweke hapa,
 
Beluga89662UNdeR3892WaY9869EPxsWydM hii password ilikuwa pasua kichwa.
 
[emoji241] [emoji239] [emoji240] [emoji233] [emoji234] [emoji243] [emoji244] [emoji260] [emoji259] [emoji249] [emoji248] [emoji247] [emoji241]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…