Vipi yametimia aliyosemaAliniambia ipo siku utakuja kujua kwamba mimi ndio nilikupenda kwa dhati na wewe unanipenda sana sema basi tuu mawenge yako mama.....aliongea huku chozi mtoto wa kiume linamtoka [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Kwa namna moja au nyingine yanataka kutimiaVipi yametimia aliyosema
Bro maneno makali hayaNilimwambia unajeuri kwasababu chuchu zimesimama ngoja zilale utajua wanaume ni watu gani!!maana ata bibi yako alikuwa na chuchu sa sita na ni mwanamke ila jiulize kwanini atongozwi.
Teh teh tehLeo unanikataa sababu sina kitu,lakin nakuhakikishia ipo siku historia itakuhukumu na kunikumbuka kwa yte... Baada ya miaka saba nauwezo wa kununua gar nalopenda,nasafiri napotaka na nakula nachopenda,yy kabaki kule kule kwa wahind mpka sasa bahat nzur mama yake ana mlaumu kila mara kwa nn aliniacha,napomuumiza zaid mke wngu anampenda mwanae sana bas inamkondesha mpka leo
We saa hizi unaonaje hali?Aliniambia ipo siku utakuja kujua kwamba mimi ndio nilikupenda kwa dhati na wewe unanipenda sana sema basi tuu mawenge yako mama.....aliongea huku chozi mtoto wa kiume linamtoka [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Labda waachaji ndio wana maneno mengiHivi huku mbona wanaume ndio wanatoa maoni tu kwa hio wanawake ndio vidosho sio
Unaacha au unaachwa?Me mzee wa kimya kimya tu
Mwanaume haachwi banaUnaacha au unaachwa?