Neno gani ulimwambia mpenzi wako baada ya kuachana?

Neno gani ulimwambia mpenzi wako baada ya kuachana?

Aliniambia ipo siku utakuja kujua kwamba mimi ndio nilikupenda kwa dhati na wewe unanipenda sana sema basi tuu mawenge yako mama.....aliongea huku chozi mtoto wa kiume linamtoka [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Vipi yametimia aliyosema
 
Leo unanikataa sababu sina kitu,lakin nakuhakikishia ipo siku historia itakuhukumu na kunikumbuka kwa yte... Baada ya miaka saba nauwezo wa kununua gar nalopenda,nasafiri napotaka na nakula nachopenda,yy kabaki kule kule kwa wahind mpka sasa bahat nzur mama yake ana mlaumu kila mara kwa nn aliniacha,napomuumiza zaid mke wngu anampenda mwanae sana bas inamkondesha mpka leo
Teh teh teh
 
Aliniambia ipo siku utakuja kujua kwamba mimi ndio nilikupenda kwa dhati na wewe unanipenda sana sema basi tuu mawenge yako mama.....aliongea huku chozi mtoto wa kiume linamtoka [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
We saa hizi unaonaje hali?
 
mimi huwa sina neno nauchuna(ga) tu ili siku nikiwa na genye nirudi

mmoja aliniavha kwa sababu ya kumkumbushia sana kosa flani, now ameolewa ana maisha yake na kazi nzuri kuliko mimi. na huwa ananitext kunipa msaada ila nakauka kama simjui maana nahisi huwa ananibeza kimtindo.(najuta kuachana nae)
 
wengi huwa tunamalizana juu kwaju...ila mmoja tu nielimpenda kwa zati nimwambia....kwa kuwa hujawahi kunitamkia hutaki mawasiliano na mimi naamini nimekukwaza lakini halikuwa lengo langu, nilikuwa natania tu, natamani ningepata nafasi ya kuomba msamaha lakini ndio nikwishachelewa ...kila raheli!!
 
Huku naona nimepotea! Huku ni jamiiforum jukwaa la mapenzi au....? Ngoja nirudi mwanzo kwanza!
 
Back
Top Bottom