Neno gani ulimwambia mpenzi wako baada ya kuachana?

Neno gani ulimwambia mpenzi wako baada ya kuachana?

Alinijibu kwa jeur nitakukumbuka kwa lipi msonyoo ila Jamaa kamchakaza yan maziwa yameshuka kama ndala za muguu eti anataka nimuoe, jamaa ameshamtema
We unajisikiaje pale anavyokuja kukubembeleza mrudiane?
 
Mi nilimuambia maneno matatu tu"Poa haina noma" na sijawahi onana naye hadi leo ya pata miaka mitatu sasa.
 
Leo nimetoka kuachana msichana wangu mida ya saa tano ..ila neno aliloniambia baada ya kuja chumbani kwangu alisema maneno haya " naomba tufanye mapenzi for the last time" and then baada ya kumaliza akaniambia tena" I will real miss you " roho iliniuma sana lakini sikuwa na jinsi zaidi ya kumjibu okay na kumuomba aondoke coz angechelewa kuondoka tu nahisi ningebadili mawazo yangu..Nitakukumbuka pia ------
 
Back
Top Bottom