Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 20,137
- 26,189
Hata wewe pia hili bandiko lako lina makosa mengi, mfano kuanza sentensi na njeo bila kuonesha nafsi ya mtenda au mtendwa wa jambo.Kuna hili neno "Kuswali", huwa linanitatiza sana, na linaonekana kurasimishwa na jamii ya watu wa uswahili ilhali si neno rasmi ambalo lipo kwenye orodha ya lugha yetu adhimu ya kiswahili
Tena jambo la kushangaza kuna wengine ambao wamekuwa mstari wa mbele kukosoa utumiaji wa maneno ya kiswahili nao wanalitumia katika uwasilishaji wao wa taarifa
Hili jambo halikubaliki ni kuharibu uhalisia wa maneno ya lugha yetu pendwa
Naomba nieleweke sitaki muliweke suala hili kiimani au kidini niko nje kabisa na muktadha huo
Naheshimu Imani za watu Wote kasoro wasabato
Sent using Jamii Forums mobile app