Neno hili kwa Kiingereza tafadhali

Neno hili kwa Kiingereza tafadhali

mimi naona hivi ndyo sahh zaid debt go back home

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Kwa kigereza unaweza kuulizia kwenye gereza la karibu na mahali unapoishi!

Ila likely inaweza kuwa ''aroo mura, utarudisha rini ure mkopo ili tuwapaie na wengine''

😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 kweli ukistaajabu ya Musa utaona ya firauni
 
Kwa kigereza unaweza kuulizia kwenye gereza la karibu na mahali unapoishi!

Ila likely inaweza kuwa ''aroo mura, utarudisha rini ure mkopo ili tuwapaie na wengine''

Muwapaie kwani hawana mabawa? Acha wapae wenyewe....kiherehere cha kuwarekebisha watu kumbe na wewe kilaza..hii ndo huwa naita kuanzisha ugomvi wa mawe wakati unaishi kwenye nyumba ya vioo!!!!
 
Karibu kwangu...sijaoa, natafuta mchumba!
 
Back
Top Bottom