Habari wanajamvi.. Leo mbele yenu napenda kujuzwa kiswahili halisi cha neno "HIGH SCHOOL"
Sijajua kama swali hili lilishaletwa ila natanguliza shukrani.
Habari wanajamvi.. Leo mbele yenu napenda kujuzwa kiswahili halisi cha neno "HIGH SCHOOL"
Sijajua kama swali hili lilishaletwa ila natanguliza shukrani.
Ninavyofahamu mimi haya madaraja ya elimu yapo kama ifuatavyo,. 1.Pre-school education, kindergarten = Shule ya Awali / Shule ya Chekechea
2.Primary School Education = Elimu ya Shule ya Msingi
3.Academic lower-middle secondary school =shule ya sekondari ya taaluma ya kati
4.Academic upper-middle secondary school =Shule ya sekondari ya taaluma ya juu
5.Technical lower-middle secondary school = Shule ya sekondari na ufundi ya taaluma ya kati