Neno hili kwa Lugha ya Kiswahili........

Neno hili kwa Lugha ya Kiswahili........

Kurzweil

JF-Expert Member
Joined
May 25, 2011
Posts
6,621
Reaction score
8,411
Habari wanajamvi.. Leo mbele yenu napenda kujuzwa kiswahili halisi cha neno "HIGH SCHOOL"
Sijajua kama swali hili lilishaletwa ila natanguliza shukrani.
 
Kwa tafsiri ya kisemantinki ni Shule ya Juu. ni sawa na ukisema high education yaani elimu ya juu.

kwa tafsiri ya kimawasiliano ni shule yenye kidato cha tano na sita.
 
Habari wanajamvi.. Leo mbele yenu napenda kujuzwa kiswahili halisi cha neno "HIGH SCHOOL"
Sijajua kama swali hili lilishaletwa ila natanguliza shukrani.

Ninavyofahamu mimi haya madaraja ya elimu yapo kama ifuatavyo,.
1.Pre-school education, kindergarten = Shule ya Awali / Shule ya Chekechea
2.Primary School Education = Elimu ya Shule ya Msingi
3
.Academic lower-middle secondary school =shule ya sekondari ya taaluma ya kati

4.Academic upper-middle secondary school =Shule ya sekondari ya taaluma ya juu

5.Technical lower-middle secondary school = Shule ya sekondari na ufundi ya taaluma ya kati

6.Specialized Education = Taaluma maalum ya Chuo

7.Higher Education = Elimu ya juu

Back
Top Bottom