Neno kafiri maana yake nini?

Neno kafiri maana yake nini?

Lycaon pictus

JF-Expert Member
Joined
Jan 31, 2021
Posts
9,189
Reaction score
16,128
Wakuu

Hili neno maana yake nini? Waislamu hulitumia kuwaita wale wasio waislamu, kama kusema mpagani. Lakini pia huko South Africa wazungu wabaguzi wa rangi huwaita weusi Kafirs, kama vile Wamarekani kuita weusi Nigger. Kafir maana yake nini? Kafir ni mtu gani?
 
Wakuu. Hili neno maana yake nini? Waislamu hulitumia kuwaita wale wasio waislamu, kama kusema mpagani. Lakini pia huko South Africa wazungu wabaguzi wa rangi huwaita weusi Kafirs, kama vile wamarekani kuita weusi Nigger. Kafir maana yake nini? Kafir ni mtu gani?
Wazee wa kubazi wana majibu sahihi.
 
Kama unauelewa kidogo tu wa economics hiyo point ya mauzo ya kitimoto kupungua kipindi cha Ramadan hata isingekupa tabu.
Tushushie ma-economics leo tujifunze
 
Wakuu nina swali nje ya mada. Je kuna uhusiano gani kati ya Ufundi Radio, TV, Fridge, AC na uislamu sababu sijawahi kukutana na fundi mkristo wa vitu tajwa hapo juu.
 
Kafiri ni wale wote wasiotoa kafara.

Hapo awali ili ukubariwe ili lazimu kafara (sadaka) itolewe.
 
Wakuu. Hili neno maana yake nini? Waislamu hulitumia kuwaita wale wasio waislamu, kama kusema mpagani. Lakini pia huko South Africa wazungu wabaguzi wa rangi huwaita weusi Kafirs, kama vile wamarekani kuita weusi Nigger. Kafir maana yake nini? Kafir ni mtu gani?
Tanza-nia tunalitumia kwa wale Pro -ccm
 
Wakuu nina swali nje ya mada. Je kuna uhusiano gani kati ya Ufundi Radio, TV, Fridge, AC na uislamu sababu sijawahi kukutana na fundi mkristo wa vitu tajwa hapo juu.
Alienijazia gas kwenye friji langu la kwanza alikuwa muumini wa kwa baba godi mfalme. Kibanda chake kilikuwa kimeandikwa Fundy Freg
 
Back
Top Bottom