Neno kafiri maana yake nini?

Neno kafiri maana yake nini?

1. Kwenye lugha;
Kafiri kwa lugha ya kiarabu ni mtu mwenye kugeuza, kwa mfano mkulima akigeuza ardhi ataitwa kafiri.
2. Kwenye imani;
Mtu yeyote mwenye kumpinga Allah anahesabika ni kafiri.
Hilo la huko bondeni sina ujuzi nalo
 
Back
Top Bottom