Neno "kimoja cha nguruwe" lafanya kipindi cha Kipenga Extra East Africa Tv kifutwe mchana huu

BUSH BIN LADEN

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2019
Posts
8,447
Reaction score
19,425
Wakuu habari za mchana?
Nikiwa nime tune tv kufuatilia kipindi changu pendwa cha sports cha kipenga extra ni shtushwa na neno Kimoja cha nguruwe likitamkwa na mgeni Mjata Mjata shabiki kindaki ndaki wa Makolo wakiwa wanaongolea matokeo ya Man United.

Naona imebidi kipindi kifutwe kabisa saizi imebidi wapige mziki tu na matangazo ya taulo za kike. Mwana simba anazingua tena kwa mara nyingine
 
Hicho kipindi ni cha kisengerema sana kipo kuidhalilisha Simba tu
 
Waandishi watoe maelekezo kwa wageni wao maneno ya kuongea kwenye vyombo vya habari.
 
Back
Top Bottom