BUSH BIN LADEN
JF-Expert Member
- Mar 16, 2019
- 8,447
- 19,425
Hii tasnia imevurugwa haijosomi..lJuzi nilisikia mtangazaji wa TBC akisema "kama vijana wanavyosema, kafinyia kwa ndani"
Ngoja ntafuatilia vipindi vya BBC nione kama watangazaji wake huwa wanatumia English ya mtaani!Juzi nilisikia mtangazaji wa TBC akisema "kama vijana wanavyosema, kafinyia kwa ndani"
Hicho kipindi ni cha kisengerema sana kipo kuidhalilisha Simba tuWakuu habari za mchana?
Nikiwa nime tune tv kufuatilia kipindi changu pendwa cha sports cha kipenga extra ni shtushwa na neno Kimoja cha nguruwe likitamkwa na mgeni Mjata Mjata shabiki kindaki ndaki wa Makolo wakiwa wanaongolea matokeo ya Man United.
Naona imebidi kipindi kifutwe kabisa saizi imebidi wapige mziki tu na matangazo ya taulo za kike. Mwana simba anazingua tena kwa mara nyingine
Hi kawaidakwenye drafti
"umenifunga moja tu!"
"kwa nguruwe watoto kumi"