Neno kinyemela ni kiswahili sanifu

Neno kinyemela ni kiswahili sanifu

moto2012

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
2,271
Reaction score
1,493
Wana jamiii na wajuzi wa lugha mnisaidie kujua kama hilo neno kinyemela ni kiswahili sanifu. Nimemsikia naibu waziri wa Elimu Bw. Philipo Mulugo akiwaasa wakuu wa vyuo vya ualimu wanaodahil wanfunzi wa vyuo vyao bila kufuata taratibu za wizara
Karibu tujadili
 
Kama umesikia likitumiwa na waziri basi linafaa. Watu wengine bwana.
 
moto2012 neno Kinyemela ni neno sanifu na hata kwenye Kamusi ya TUKI lipo


Kwa mujibu wa KAMUSI ya TUKI:


kinyemela = quietly; secretly:


Amemwendea kinyemela =
he has gone behind her back.


Radhia Sweety punguza hasira
.
 
Back
Top Bottom