Neno ‘KOLO’ hatarini kumponza Haji Manara, jela inanukia

Neno ‘KOLO’ hatarini kumponza Haji Manara, jela inanukia

Kwa mfano neno ''KOLO'' ambalo wingi wake ni ''MAKOLO'' badala ya kusema linamaanisha shabiki yeyote wa timu ya Simba SC, uje useme vinginevyo

Hapo unakuwa tayari umebatilisha tafsiri ya neno ''Kolo'' au ''Makolo''
Basi wasanii wengi watapotea mtaani, kwamfano yule Hakunaga...
 
Kwa mfano neno ''KOLO'' ambalo wingi wake ni ''MAKOLO'' badala ya kusema linamaanisha shabiki yeyote wa timu ya Simba SC, uje useme vinginevyo

Hapo unakuwa tayari umebatilisha tafsiri ya neno ''Kolo'' au ''Makolo''
Ila bado najiuliza watatumia askari gani kuwakamata wahusika, nilisikia NEMC wanashindwa kazi kwasababu hawana jeshi, sasa BAKITA itakuwaje?
 
Manara anavuka sana mipaka kama watu wangemchukulia serious angekuwa jela mda huu ni juzi tu aliweka post ya kuwatahadharisha asec kuhusu simba na aliitoa baada ya watu kulalamika ndio maana alikimbiwa na wake zake yule jamaa.
 
Back
Top Bottom