Uhakika Bro
JF-Expert Member
- Mar 29, 2022
- 3,644
- 4,315
Ukitaka kuandika hongera baadhi ya keyboard zinakupakazia eti kongole!
Kongole wich, who are you kongole? are you normal?🤷♂️
Je ni kutohoa congratulations au ni nini?
Kwani kiswahili lini kilikosa, au kilikuwa na upungufu wa misamiati ya kupongeza? Hongera ilikuwa wapi.
Tuna upungufu wa maneno mengi tu sio hongera mfano maneno mbadala ya like na love kwetu hakuna. Kuna neno moja tu kupenda. Inasababisha utamaduni wetu kushindwa kutofautisha kupenda vitu na wapendwa wetu. Hadi mapenzi yanapoteza thamani.
Tafuteni hayo maneno sio kongole☹. Au ni vile machawa wamesifia hadi wakaishiwa maneno ndio wakaamua kuongeza misamiati ya ajabu ajabu kama hongera.
Hili nalo mkalichunguze
Nb: leo nimewapruvia kuwa unaweza kuwa na makasiriko na kitu chochote, hata vitu vidogo kama neno la kutungwa la nasibu tu kama kongole🤣. Ila siriazi kongole ni baya bhanaa🤔