Ncha Kali
JF-Expert Member
- Sep 19, 2019
- 15,335
- 29,114
Ndugu zangu!
Jamii inahitaji kuamshwa kwa kuambiwa ukweli. Waharifu nao hawajabatizwa, kila siku wapo kazini kubuni mbinu mpya za uharibifu.
Sijui limetokea wapi, wala sijui kama ni kiswahili sanifu. Kudanga limeshika kasi mno, na limekuwa rahisi kutumika na rika zote bila ukakasi.
Lakini maana yake inabaki pale pale, kudanga ni KUJIUZA. Ni kujiuza kulikochangamka, ni rahisi kusikia watu (wanawake) wakitamba hadharani kuwa wanaenda kudanga sehemu fulani.
Jamii inapotoshwa na tukikaa kimya tutarajie kizazi cha hovyo sana kuanzia hiki na huko mbele. Waharifu wamefanikiwa kupitisha kirahisi msemo wao wenye nia ovu, tukizubaa tumekwisha.
Saini 'petition' hii kama unakereka na udangaji unaohalalishwa kwenye jamii yetu.
Ncha Kali.