Neno 'kudanga' linatumika kuhalalisha ukahaba, ni kujiuza tu tusichekelee huku jamii ikiharibikiwa

Kwa hio mnataka mpewe tundu bure bila kulipia ?
Hivi mim ninaathirika na nini iwapo watu wawili watakubaliana kwenda kukutanisha miili yao pasi mimi kujua chochote ?
Hivi hilo dume linalonunua k likiikosa lipeleka wapi miny##ge yake?
Je wanyama wetu,watoto,wetu, vijana wetu wake zetu hawatadhuliwa na hilo nye##ge kumshindo? Halitabaka watoto wetu?
Binafasi naona bora wanunuane huko kuliko kuwinda watoto wetu mtaani.
Je mmepima athari ya kutokuwepo wadanganyi? Mtavumolia madhara ya hao madanga mtaani. Mnakumbuka jinsi ubakaji ulivyokuwa miaka ya nyuma?
Why do we want to force an ideal ethics which do not exist anywhere on earth except heaven?
Kama moto upo, hao madanga si watachomwa moto wa milele, kwa nini tuumie wakati kuna moto unawasubiri , moto si uliwekwa kwa sababu ya wakaidi ?
Plato aliwahi sema maadili ya hapa si maadili ya kule.Hii ina maana kwamba maadili yako si maadili yangu
 
Ndugu zangu!

Jamii inahitaji kuamshwa kwa kuambiwa ukweli. Waharifu nao hawajabatizwa, kila siku wapo kazini kubuni mbinu mpya za uharibifu.

Sijui limetokea wapi, wala sijui kama ni kiswahili sanifu. Kudanga limeshika kasi mno, na limekuwa rahisi kutumika na rika zote bila ukakasi.

Lakini maana yake inabaki pale pale, kudanga ni KUJIUZA. Ni kujiuza kulikochangamka, ni rahisi kusikia watu (wanawake) wakitamba hadharani kuwa wanaenda kudanga sehemu fulani.

Jamii inapotoshwa na tukikaa kimya tutarajie kizazi cha hovyo sana kuanzia hiki na huko mbele. Waharifu wamefanikiwa kupitisha kirahisi msemo wao wenye nia ovu, tukizubaa tumekwisha.

Saini 'petition' hii kama unakereka na udangaji unaohalalishwa kwenye jamii yetu.

Ncha Kali.
Kwa mfano Dada yako akiitwa Danga au Malaya ni neno lipi linauma na lipi lina afadhali Kiukali wake Masikioni mwako?
 
Ndugu zangu!

Jamii inahitaji kuamshwa kwa kuambiwa ukweli. Waharifu nao hawajabatizwa, kila siku wapo kazini kubuni mbinu mpya za uharibifu.

Sijui limetokea wapi, wala sijui kama ni kiswahili sanifu. Kudanga limeshika kasi mno, na limekuwa rahisi kutumika na rika zote bila ukakasi.

Lakini maana yake inabaki pale pale, kudanga ni KUJIUZA. Ni kujiuza kulikochangamka, ni rahisi kusikia watu (wanawake) wakitamba hadharani kuwa wanaenda kudanga sehemu fulani.

Jamii inapotoshwa na tukikaa kimya tutarajie kizazi cha hovyo sana kuanzia hiki na huko mbele. Waharifu wamefanikiwa kupitisha kirahisi msemo wao wenye nia ovu, tukizubaa tumekwisha.

Saini 'petition' hii kama unakereka na udangaji unaohalalishwa kwenye jamii yetu.

Ncha Kali.
Ncha Kali:

Tupo kwenye zama za mambo maovu yanasifiwa na kunakishiwa na majina mazuri yakiimbwa na mapambio.

Wakati ukiliona hilo watu mashuhuri wanaimba na kulipambia na watu mashuhuri wakilinadi kwa mivinyo na kila mfuasi wa mtu akitamani kuhamasika na mdundo wake jinsi ya kudemka.
 
Tumia hili neno.

"MALAYA WANAOUZA MIILI YAO" wameamua kujibatiza na kujiita "wadangani" na mabosi wao wanawaita "madanga"

Kifupi ukifanywa kwa makubaliano ya kulipwa hela au kusaidiwa maisha haijalishi unafanyia wapi tambua wewe ni MALAYA tu anayeuza U**I na hauna tofauti na wale wanaokipanga barabarani. Kifupi unadhalilisha utu wako na kuabishana jamii yako, baba na mama zako, watoto na wadogo zako, na nchi yako kama kijana inayekutegemea kulijenga Taifa kwa manufaa ya vizazi na vizazi.
Na ukifanywa bure unakuza utu wako eti?
 
Mkisikia kudanga mnashupaza shingo kwakuwa pesa inahusika na kujidai MAADILI ila hamshupazi shingo kupinga upuuzi mnaoufanya kwenye mwamvuli wa UANAUME. Wanajiuza au kudanga kwakuwa wananunuzi wao mpo. Let the change begin with you, mnapojisifiaga ujinga kwani huo ujinga huwa mnaufanya na nani?
 
Ndugu zangu!

Jamii inahitaji kuamshwa kwa kuambiwa ukweli. Waharifu nao hawajabatizwa, kila siku wapo kazini kubuni mbinu mpya za uharibifu.

Sijui limetokea wapi, wala sijui kama ni kiswahili sanifu. Kudanga limeshika kasi mno, na limekuwa rahisi kutumika na rika zote bila ukakasi.

Lakini maana yake inabaki pale pale, kudanga ni KUJIUZA. Ni kujiuza kulikochangamka, ni rahisi kusikia watu (wanawake) wakitamba hadharani kuwa wanaenda kudanga sehemu fulani.

Jamii inapotoshwa na tukikaa kimya tutarajie kizazi cha hovyo sana kuanzia hiki na huko mbele. Waharifu wamefanikiwa kupitisha kirahisi msemo wao wenye nia ovu, tukizubaa tumekwisha.

Saini 'petition' hii kama unakereka na udangaji unaohalalishwa kwenye jamii yetu.

Ncha Kali.
Siku moja nilifika katika bar moja hapa mjini ambayo nimezoea kwenda. nikabaini wahudumu wote ni wapya nikamuuliza mmoja wao kwa nini ile bar wahudumu wanahama hama sana akanijibu kuwa hapa hakuna madanga hivyo wanatafuta bar zenye madanga.

kwa kweli sikuelewa alikuwa na maana gani. niliona nisiluize zaidi.
 
Kwa hio mnataka mpewe tundu bure bila kulipia ?
Hivi mim ninaathirika na nini iwapo watu wawili watakubaliana kwenda kukutanisha miili yao pasi mimi kujua chochote ?
Hivi hilo dume linalonunua k likiikosa lipeleka wapi miny##ge yake?
Je wanyama wetu,watoto,wetu, vijana wetu wake zetu hawatadhuliwa na hilo nye##ge kumshindo? Halitabaka watoto wetu?
Binafasi naona bora wanunuane huko kuliko kuwinda watoto wetu mtaani.
Je mmepima athari ya kutokuwepo wadanganyi? Mtavumolia madhara ya hao madanga mtaani. Mnakumbuka jinsi ubakaji ulivyokuwa miaka ya nyuma?
Why do we want to force an ideal ethics which do not exist anywhere on earth except heaven?
Kama moto upo, hao madanga si watachomwa moto wa milele, kwa nini tuumie wakati kuna moto unawasubiri , moto si uliwekwa kwa sababu ya wakaidi ?
Plato aliwahi sema maadili ya hapa si maadili ya kule.Hii ina maana kwamba maadili yako si maadili yangu

Umeandika porojo nyingi ila nasikitika kukutonya kuwa zote ni chakula ya kuku tu.
 
Mkisikia kudanga mnashupaza shingo kwakuwa pesa inahusika na kujidai MAADILI ila hamshupazi shingo kupinga upuuzi mnaoufanya kwenye mwamvuli wa UANAUME. Wanajiuza au kudanga kwakuwa wananunuzi wao mpo. Let the change begin with you, mnapojisifiaga ujinga kwani huo ujinga huwa mnaufanya na nani?

Kujiuza ni kitu kimoja, na ni kitu cha aibu hakipaswi kufanyika hadharani…. sasa hebu fikiria leo hii mtu yuko proud kujisifu/kusifiwa mdangaji!
 
Na ukifanywa bure unakuza utu wako eti?
Espy:

Hukuzi utu ...Maana mdomo wa Malaya hudondoza asali na kinywa chake ni laini kuliko mafuta lakini mwisho wake ni mchungu kuliko panga ni mkali kama upanga wa makali kuwili miguu yake inatelemkia mauti hatua zake zinashikamana nakuzimu hata asiweze kuiona njia sawa ya uzima nji azake ni za kutanga-tanga wala hana habari basi wanangu nisikilizeni sasa wala msiache maneno ya kinywa changu itenge njia yako mbali naye wala usikaribie lango wa nyumba yake.

Anayenunua na anayekaribia hata kabla ya kununua lao ni moja.
 
Umalaya ni umalaya tu iwe ni kwa pesa au bila pesa. Mkemee umalaya bila kuweka standards kwakuwa tu upande huo unakufaa.
 
Mkisikia kudanga mnashupaza shingo kwakuwa pesa inahusika na kujidai MAADILI ila hamshupazi shingo kupinga upuuzi mnaoufanya kwenye mwamvuli wa UANAUME. Wanajiuza au kudanga kwakuwa wananunuzi wao mpo. Let the change begin with you, mnapojisifiaga ujinga kwani huo ujinga huwa mnaufanya na nani?
Espy:

Kuna sauti naisikia masikioni mwangu
"...jitahidi umalizie huo uji,hata nusu basi..". Mungu atusaidie hakuna kitu kinauma kama Espy upo kwenye kilele cha mafanikio yako unakumbuka kuna kumeza tembe.
 
Umalaya ni umalaya tu iwe ni kwa pesa au bila pesa. Mkemee umalaya bila kuweka standards kwakuwa tu upande huo unakufaa.
Espy:

Nashangaa kuna dalali mmoja wa kiroho atakwambia naikemea zinaa ? Tumeambiwa "..ikimbieni zinaa.."
 
Nchi ngumu sana hii, siku hizi habari kubwa ni kupeleka moto kwa Mpalange!
 
Back
Top Bottom