Neno kwa huyu bodyguard wa CCM anayepiga miayo huku akiwa dhoofu

Neno kwa huyu bodyguard wa CCM anayepiga miayo huku akiwa dhoofu

Mtoto wa anayelinda sera zake na cheo chake analipia moja wapo wa gari zake bima kwa mwaka Tsh 55,750,000/= yaani igongwe isigongwe mwakani analipia tena na tena.

Huyu mlinzi uchwara hata akusanye posho zake zote miaka yote atakayotawala huyu mama hazifiki hesabu hiyo hapo juu,stupid kabisa maiti zinazopumua.
 
Anabubujikwa na miayo kwa furaha bwana LUKA
 
Luka wa watu kajichokea hata bando hapo hana.
Lucas ingebidi alipwe fadhila,anajitoa sana kwa bando lake kuwatetea watawala na mfumo kwa ujumla.Wangekua wanamuunga hata bando.
 
Back
Top Bottom