Neno la Jumapili Kwa marafiki zangu

siendi naye .wewe ndio maana nikakuuliza unajua kilichotokea pala kalvari? kuna mtu pale alipata zali akaenda kwa mungu baba ..sasa mimi ni mmoja wa watu wenye mazali kama yale

Haya we subiri zari wenzio wanatengeneza njia zao mapemaaaaa
 
sijaichakachua GAGA mwenyewe nbadae ndo aliedit post yake

Mhh nilikuona nikamezea tu, najua sasa hivi upo na wakati mgumu sana shauri yako
 
Mimi Ivuga ndo kanimaliza,yaani alivyopindisha na kuchakachua post ya Gaga,mmmhh Ivuga we mwisho wa njia kama ni barabara we ni Chalinze- Tanga!
Gaga ahsante mama tutafuata ushauri.

Hili toto tundu we liache tu.Hahahahaha
 
Haya maneno ya hekima sana. Natamani niyakopi na kuyapest kichwani kwa......
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…