NENO LA KUPEANA MOYO

Douvir N

Member
Joined
Sep 8, 2019
Posts
51
Reaction score
176
Habari na pole na majukumu ya kila siku.

Najua hakuna aliyewahi kukuambia na kama yupo Mimi nakuwa wa ziada kukuambia leo kwamba "NAJIVUNIA WEWE"

Pengine maisha yanakupitisha katika vipindi vigumu ambavyo huwezi hata eleza mbele za watu, lakini unajitahidi kukabiliana nayo kwa hicho kidogo upatacho na maisha yanaenda.

"USIKATE TAMAA"

#KEEPMOVING
#BetterDaysAreComing
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…