EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,711
- 35,644
Zab 119:105 SUV
Neno lako ni taa ya miguu yangu, Na mwanga wa njia yangu.Mit 16:1 SUV
Maandalio ya moyo ni ya mwanadamu; Bali jawabu la ulimi hutoka kwa BWANA.Mit 14:12 SUV
Iko njia ionekanayo kuwa sawa machoni pa mtu, Lakini mwisho wake ni njia za mauti.Mit 8:17 SUV
Nawapenda wale wanipendao, Na wale wanitafutao kwa bidii wataniona.🤝🏻🤝🏻🤝🏻🤝🏻🤝🏻🤝🏻🤝🏻🤝🏻🤝🏻
Mungu wa Mbinguni akubariki sana, nenda Kanisani
Ukitoka kanisani njoo niambie ulichojifunza.
=======+++=
Nakupenda sana ndio maana nakukumbusha Neno la Mungu