Neno la Msamiati wa Leo katika Gazeti Habari Leo limekuja muda muafaka kabisa

Neno la Msamiati wa Leo katika Gazeti Habari Leo limekuja muda muafaka kabisa

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Kisonoko:

Ni Mtu (hasa Mtumishi wa Kike) mwenye Kudharauliwa na ambaye hajui Kitu chochote

Chanzo: Gazeti la Habari Leo la leo.

Ngoja na Mimi sasa nianze kuangalia katika Sekta mbalimbali za Kiutendaji na Kiutumishi Tanzania nione kama kuna akina 'Visonoko' wengi ili tuwasaidie Kuwarekebisha wasiendelee kufanya 'Mauzauza' yao.
 
Kosonoko ninavyojua ni mtu hohehahe asokuwa na mbele wa nyuma.

Kama ni kimaisha ni mtu upo tu huna tumaini.

Heri yule aliyetuita malofa kuliko kuitwa kisonoko.

Sijui linatokea wapi lakini.
 
NASIKIA JANA UMEOA MKUU HONGERA SANA, UMEPATA MTOTO MBICHI MWEUPEEE
Kwa Ugonjwa alionao na huyo 'Beibe' aliyeoa si vibaya tukianza sasa kujiandaa na Taarifa ya Msiba kwani najua Mzee atataka Kututhibitishia Watanzania kuwa yupo ngangari 'Kimtombo' hivyo atataka kumpa Ujauzito hivyo ndiyo hapo hapo akiwa analitafuta Bao la Mimba akilikojoa tu Kitandani na 'Breaking News' ya Msiba wake itaanza Kusambaa.
 
Kosonoko ninavyojua ni mtu hohehahe asokuwa na mbele wa nyuma.

Kama ni kimaisha ni mtu upo tu huna tumaini.

Heri yule aliyetuita malofa kuliko kuitwa kisonoko.

Sijui linatokea wapi lakini.
Mkuu hivi Tanzania ya sasa hatuna Visonoko?
 
Back
Top Bottom