Neno la MUNGU linasema "MSINYIMANE"

Neno la MUNGU linasema "MSINYIMANE"

Mr George Francis

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2022
Posts
234
Reaction score
376
1 WAKORINTHO 7:3-5
"Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.

Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe.

Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu."

NENO LA BWANA. 🙏
a37ea64e2a5b6c348bc284d0e9fe4a67.jpg

NAME: Mr George Francis
📩 mr.georgefrancis21@gmail.com
 
1 WAKORINTHO 7:3-5
"Mume na ampe mkewe haki yake, na vivyo hivyo mke na ampe mumewe haki yake.

Mke hana amri juu ya mwili wake, bali mumewe; vivyo hivyo mume hana amri juu ya mwili wake, bali mkewe.

Msinyimane isipokuwa mmepatana kwa muda, ili mpate faragha kwa kusali; mkajiane tena, Shetani asije akawajaribu kwa kutokuwa na kiasi kwenu."

NENO LA BWANA. 🙏 View attachment 2827386

NAME: Mr George Francis
📩 mr.georgefrancis21@gmail.com
NB: HII NI KWA MUME NA MKE TU, nyie wengine mtajua wenyewe cha kufanya.
 
Ndio maana Wanawake wa kule Mtwara huwa wanasema 'Kumnyima mtu kitu ni dhambi' Kama Mungu alikupa kitu bure, kwa nini wewe uwe mchoyo?.
 
Back
Top Bottom