S Sijapewa username bado JF-Expert Member Joined Aug 15, 2024 Posts 1,775 Reaction score 2,891 Dec 22, 2025 #1 Wakuu, Hili ni neno la mwaka 2026 kutoka kwa Askofu Mkuu wa makanisa ya Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima ni wakati wa tafakuri sasa Neno ni kutoka Matendo 27:25 "Basi wanaume changamkeni kwa sababu namwamini Mungu ya Kwamba yatakuwa vile vile kama nilivyoambiwa"
Wakuu, Hili ni neno la mwaka 2026 kutoka kwa Askofu Mkuu wa makanisa ya Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima ni wakati wa tafakuri sasa Neno ni kutoka Matendo 27:25 "Basi wanaume changamkeni kwa sababu namwamini Mungu ya Kwamba yatakuwa vile vile kama nilivyoambiwa"
G granitized JF-Expert Member Joined Jul 5, 2016 Posts 4,869 Reaction score 11,356 Dec 22, 2025 #2 kwamba ni suala la muda tu tunaenda peperusha bendera nusu mlingoti siyo?
S Sappire JF-Expert Member Joined Mar 19, 2024 Posts 5,419 Reaction score 13,531 Dec 22, 2025 #3 Yatakuwa yakeyale tu ya utekaji na uuaji.Inabidi tuchukie hatua mapema ya kumdhibiti
wa stendi JF-Expert Member Joined Jul 7, 2016 Posts 26,597 Reaction score 29,527 Dec 22, 2025 #4 Anaanisha gen z wachangamke kuikomboa nchi
Surya JF-Expert Member Joined Jun 7, 2015 Posts 10,002 Reaction score 16,240 Dec 22, 2025 #5 granitized said: kwamba ni suala la muda tu tunaenda peperusha bendera nusu mlingoti siyo? Click to expand... Uhakika
granitized said: kwamba ni suala la muda tu tunaenda peperusha bendera nusu mlingoti siyo? Click to expand... Uhakika
pambe samanini JF-Expert Member Joined Oct 27, 2015 Posts 464 Reaction score 271 Dec 23, 2025 #6 Sijafahamu andiko likoje hili