Neno la "Mwendazake"

Neno la "Mwendazake"

Mr.mzumbe

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2011
Posts
1,037
Reaction score
998
Sitaki hata kuanza na salamu..

Hili neno kwa mara ya kwanza nimelisikia kipindi cha msiba wa marehemu Magufuli likitumika sana kwenye media za kenya kama ktn, ntv.

Mapumziko kidogo. Siku za mwanzo za msiba nilikuwa naangalia sana media za Kenya,kwasababu angalau wao walikuwa wanaBalance story za marehemu kulinganisha na media za kwetu.

Tuendelee sasa.
Hili neno mwendazake naona Watanzania wengi wameanza kulitumia, nafikiri hata kwenye masusi yetu ya bakita halipo. Silipendi narudia tena silipendi.
 
Screenshot_20210404-085730.png
 
Kinyume cha neno "Mwendazake" ni neno "Mjazake" yaani ni mtoto mchanga.
 
Back
Top Bottom