Neno langu kwa Tajiri Yusuf Bakhressa wa Azam FC

Uishi miaka mingi Genta. Bora kama umeliona hilo
Amina Mkuu. Kabla ya huku ( huko ) Kukurupuka Kwake Tajiri Yusuf Bakhressa alitakiwa Kwanza afyagie 85% ya Watendaji wake wote pale Azam FC kwani hao ndiyo Siku zote wanamuangusha na wanaiangusha Azam FC ambao leo hii GENTAMYCINE nakiri hapa kuwa kama isingekuwa na Uyanga na Usimba ingekuwa Bingwa kila mwaka kwani ina vitu karibia vyote vya kuipa Mafanikio hayo ila Azam FC imekubali Uswahili ulioko Simba na Yanga utamalaki Kwao.
 
Mpumbavu kama Wewe kamwe huwezi Kunielewa hivyo nakushauri tu tulia uwasome wale 'geniuses' walionielewa Oky?
Kwa comment yako hii nadhani hata wengine watajua nani mpumbavu. Unaulizwa kistaarabu unalipuka hivi akili zenu huwa mnaziacha nyie? Yan muda wote upo kishari shari tu walking contradiction
 
Wee jamaa toka uhamie Morogoro kutoka mkoa mojaaa hiivi wa Kanda ya ziwa umekuwa tofauti sana unaamini wewe unajua kila kitu, unaona mawazo wa wengine sio kitu sasa hapa tusi la nini sasa?

Au kisa hicho ki dedree cha SUA? Nakuona hata kwenye peji yako ya FB unayouza nguo (jezi) hutaki mawazo mapyaa

Note: mods sijatoa taarifa za mtu hapa waliohama kutoka kanda ya ziwa kwenda moro ni wengi pia wauza nguo FB ni wengi
 
Huwa nakuwa hivyo hasa pale tu nikikutana na Watu wenye Utindio wa Ubongo na Matahaira Tukuka kama Wewe hapa.
 
Tafsiri ya Neno 'Mpumbavu' ni Mtu asiye na Akili hivyo kama Kwako Wewe hilo ni Tusi nakuruhusu niripoti Kokote utakako.

Halafu sina Degree ya SUA bali nina Degree ya SAUT na Masters ya SAUT na sasa najiandaa kuanza Doctorate yangu ambayo pia nitaisomee hapo hapo SAUT sawa? Huyu wa SUA nadhani atakuwa ni Basha wako na kuhusu Mimi kuwa Morogoro halikuhusu ila sitokuwepo tu hapa Morogoro bali pia nitaenda Arusha kisha Mwanza halafu naingia Nairobi naenda Kigali na namalizia Kampala Uganda.

Mpuuzi mkubwa Wewe.
 
Hela za mwanaume mwenzako unazipangiaje kazi? Mpumbavu nini
Kuna Shoga Mmoja Sinza ana Jina kama lako hapa katika ID yako vipi ndiyo Wewe au ni 'Coincidence' tu ya Majina yenu?
 
Huwa nakuwa hivyo hasa pale tu nikikutana na Watu wenye Utindio wa Ubongo na Matahaira Tukuka kama Wewe hapa.
Wewe ni nguruwe na hiyo degree unajidai sijui SAUT walikupaje napata mashaka na hiyo taasisi. Njoo Mzumbe uelimike uache kuwa bogus hivi. NIMEMALIZA
Screenshot_20220628-054235_1656662515294.jpg
 
Amina Mkuu. Kabla ya huku ( huko ) Kukurupuka Kwake Tajiri Yusuf Bakhressa alitakiwa Kwanza afyagie 85% ya Watendaji wake wote pale Azam FC kwani hao ndiyo Siku zote wanamuangusha na wanaiangusha Azam FC ambao leo hii GENTAMYCINE nakiri hapa kuwa kama isingekuwa na Uyanga na Usimba ingekuwa Bingwa kila mwaka kwani ina vitu karibia vyote vya kuipa Mafanikio hayo ila Azam FC imekubali Uswahili ulioko Simba na Yanga utamalaki Kwao.
Safi sana mkuu,
Hili halihitaji uwe na digrii nne kama za Mwakyembe kuliona.....
Hapa umenena jambo la msingi,natamani hata ndugu Yusuph angepitia hapa.

Sent from my PBBM00 using JamiiForums mobile app
 
Chawa, Kiroboto, Kunguni,Mbung'o

Wao Damu Tu Mpaka Ukonde
 
Back
Top Bottom