Kwa hapa nyumbani Azam Fc naifananisha na Mamelod kiumri ikilinganishwa na team nyingine lakini pia kiuchumi (wamiliki ni vibopa), lakini sijui kwanini AZAM inafeli kulishika soka la Tanzania.
Mtu akija kuniambia kuwa Siasa za usimba&yanga ndo zinaharibu nitakubaliana nae, lakini mbona kule South kuna wakubwa wawili (Orlando&Kizer) na wanaishambulia sana Mamelod kwa kuiita small club lakini bado anawa- outshine vizuri tu?
**** shida sehemu, safari hii naona kaamua kufany usajili wa akili tofauti na zamani, ngoja tuone msimu ujao itakuwaje.