Shambaboy jogoli
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 1,223
- 1,627
Bachlesa mwenyewe ni Simba damu lialiaAmina Mkuu. Kabla ya huku ( huko ) Kukurupuka Kwake Tajiri Yusuf Bakhressa alitakiwa Kwanza afyagie 85% ya Watendaji wake wote pale Azam FC kwani hao ndiyo Siku zote wanamuangusha na wanaiangusha Azam FC ambao leo hii GENTAMYCINE nakiri hapa kuwa kama isingekuwa na Uyanga na Usimba ingekuwa Bingwa kila mwaka kwani ina vitu karibia vyote vya kuipa Mafanikio hayo ila Azam FC imekubali Uswahili ulioko Simba na Yanga utamalaki Kwao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] LolTafsiri ya Neno 'Mpumbavu' ni Mtu asiye na Akili hivyo kama Kwako Wewe hilo ni Tusi nakuruhusu niripoti Kokote utakako.
Halafu sina Degree ya SUA bali nina Degree ya SAUT na Masters ya SAUT na sasa najiandaa kuanza Doctorate yangu ambayo pia nitaisomee hapo hapo SAUT sawa? Huyu wa SUA nadhani atakuwa ni Basha wako na kuhusu Mimi kuwa Morogoro halikuhusu ila sitokuwepo tu hapa Morogoro bali pia nitaenda Arusha kisha Mwanza halafu naingia Nairobi naenda Kigali na namalizia Kampala Uganda.
Mpuuzi mkubwa Wewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna Shoga Mmoja Sinza ana Jina kama lako hapa katika ID yako vipi ndiyo Wewe au ni 'Coincidence' tu ya Majina yenu?
Elimu yote hii inaishia kuandika nyuzi za simba jf na kupigwa ban,bora uje nikuajili kwenye gazeti letu tuwe tunakupatia laki 2 kila toleoTafsiri ya Neno 'Mpumbavu' ni Mtu asiye na Akili hivyo kama Kwako Wewe hilo ni Tusi nakuruhusu niripoti Kokote utakako.
Halafu sina Degree ya SUA bali nina Degree ya SAUT na Masters ya SAUT na sasa najiandaa kuanza Doctorate yangu ambayo pia nitaisomee hapo hapo SAUT sawa? Huyu wa SUA nadhani atakuwa ni Basha wako na kuhusu Mimi kuwa Morogoro halikuhusu ila sitokuwepo tu hapa Morogoro bali pia nitaenda Arusha kisha Mwanza halafu naingia Nairobi naenda Kigali na namalizia Kampala Uganda.
Mpuuzi mkubwa Wewe.
Kwa comment yako hii nadhani hata wengine watajua nani mpumbavu. Unaulizwa kistaarabu unalipuka hivi akili zenu huwa mnaziacha nyie? Yan muda wote upo kishari shari tu walking contradiction
Sina tu Degree bali nina Akili kuliko mpaka 'anayekuweka' vile vile.Wewe ni nguruwe na hiyo degree unajidai sijui SAUT walikupaje napata mashaka na hiyo taasisi. Njoo Mzumbe uelimike uache kuwa bogus hivi. NIMEMALIZAView attachment 2278054
Ninacholipwa kwa Kazi Maalum niliyonayo si inaniwezesha 'Kukuweka' Wewe bali na hata Mkeo na aliyekuleta Duniani Ok?Elimu yote hii inaishia kuandika nyuzi za simba jf na kupigwa ban,bora uje nikuajili kwenye gazeti letu tuwe tunakupatia laki 2 kila toleo
Siku zote huwa nakubalika na naeleweka na wale 'Brainiacs' Wenzangu tu hapa JamiiForums ila Wapumbavu hunichukia.Page ya 23 hii badala ya kuchangia hoja watu wanaitana majina mabaya lakn naunga mkono hoja ya mtoa mada
Unadhihirisha akili za SAUT zilivyoNinacholipwa kwa Kazi Maalum niliyonayo si inaniwezesha 'Kukuweka' Wewe bali na hata Mkeo na aliyekuleta Duniani Ok?
Kwamba ni za 'Geniuses' watupu tu.Unadhihirisha akili za SAUT zilivyo