Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
amelala wakati ulipita, analala wakati uliopo.
Nadhani inategemea na context:
Mtoto yuko wapi? Analala. haina maswali, mtoto kalala.
Mtoto anacheza? No, amelala. hapa kuna maana ya alikua anafanya kitu kingine ila amelala (sasa). or, amesha lala.
Sina uhakika na tafsiri hii ila mimi kama mimi natumia kw anamna hiyo...
amelala siyo wakati uliyopita ni wakati uliopo uliokamilika ie kitendo kimeshakamilka kutendeka. in eng. pres. perfect. hivyo matumizi yake yanatumika kwa usahihi kabisa. mzee amelala. ikiwa ndo kwanza anaingia kitandani bado usingizii haujamshika, tunasema analala. kwa mtoto pale anaposinzia tunasema analala. akishaupata usingizi kamili tunasema amelala. akiamka tutasema alilala....Nilikua na maana kwamba imezoeleka kutumia neno amelala ambalo ni wakati uliopita badala ya analala kuonyesha wakati uliopo yani kitendo kinaendelea na kwa maana hiyo utaonekana umekosea na utasahihishwa kwa kuambiwa amelala.

amelala siyo wakati uliyopita ni wakati uliopo uliokamilika ie kitendo kimeshakamilka kutendeka. in eng. pres. perfect. hivyo matumizi yake yanatumika kwa usahihi kabisa. mzee amelala. ikiwa ndo kwanza anaingia kitandani bado usingizii haujamshika, tunasema analala. kwa mtoto pale anaposinzia tunasema analala. akishaupata usingizi kamili tunasema amelala. akiamka tutasema alilala....
Kwa hakika inategemea na muktadha tu...lakini maneno yote mawili ni fasaha...na yanaweza kubeba maana zaidi ya moja!
1. Kwa nini siku hizi Jeremiah analala mapema?.....siku hizi anafanya kazi za kutumia nguvu, hivyo anachoka sana.
2. Jeremiah analala wapi?.....(a) analala chumba namba tatu (b) ..analala kwa bi mdogo! nk nk
3. Jeremiah yupo wapi?....(a) yupo chumbani kwake,..amelala (b) ..bado amelala/kalala
nk
jerry. hapa hapana wakati uliopita . mtoto amekula ni wakati uliopo uliokamilika na mtoto anakula ni wakati uliopo unaoendelea. wakati uliopita ingekuwa mtoto alikula. the same to ameondoka na anaondoka. hope u get itNa vipi tukitumia mifano mingine bado itaonyesha wakati uliopita:-Mtoto amekula, mtoto anakula. Baba ameondoka, baba anaondoka ni ipi itaonyesha wakati uliopita na ipi itaonyesha wakati uliopo.