kazi kwelikweli, hilo neno limeanzishwa na wanaume, wanawake wamekuja kulikuta facebook tu, usiogope kulitumia mkuu, lol!
btw, ni kifupisho tu hakina jinsia.
hata mimi neno a.k.a lilinitesaga sana,kila nikipita huku a.k.a nikawa najiuliza ndio nini hiki?
Kama wadau wengine walivyotafsiri "Loughing out loud" lakini ni neon la kizunguzungu zaidi haliendani na mazingira na muktadha wetu waswahili sema watu wengi wameingia kwenye kitu naweza kuita "Mkumbo" yaani kama fasheni kulitumia. Binafsi naona limekaa ki-kikekike zaidi!!
Wadau ... Tusaidiane hapa .. Neno "lol"
1. Lina maaana gani ?
2. Hutumika mazingira gani ?
3. Jinsia ipi hupaswa kutumia neno hilo.? Na akilitamka kwa jinsia ipi ?
Asanteni .

Lakini sasa hiv umeshalifahamu au lah?
Kinachonishangaza ni kwamba hapa JF tumejaa watu ambao tunajivunia lugha ya kiswahili kama lugha yetu ya taifa, lakini mata eti 'lol' ina maana sijui nini mara btw ina maana sijui baa ya tukunyema ina watoto mara sijui nini na nini.
Kwa nini tusiunde vifupi vyetu vya kiswahili? Kwa mfano: tuna neno 'kama kawa' = kama kawaida. Tuendeleze vifupi vingine vya kiswahili.
1.kuw = kwa ufahamu wako
2.nnt = nilikuwa natania tu
3.akk = asante kwa kunijulisha
4.us = umenichekesha sana
5. nk nk. Unda kifupi kizuri kitamu cha kiswahili tutakipenda tu.
Hayo ma btw, lmfao, lol, tuwaachie wenyewe!

nina kushukuru sana nilikuwa gizanilaughing out loudly,lots of love.thats the meaning.
Sifa ya lugha ni lazima ivutie / iwe na mvuto.. na pia na pia liendane na mtumiaji wake.
Mfano Mzuri;
Mwanaume timamu huwezj sema '' Gaaash !!! " .
Kinachonishangaza ni kwamba hapa JF tumejaa watu ambao tunajivunia lugha ya kiswahili kama lugha yetu ya taifa, lakini mata eti 'lol' ina maana sijui nini mara btw ina maana sijui baa ya tukunyema ina watoto mara sijui nini na nini.
Kwa nini tusiunde vifupi vyetu vya kiswahili? Kwa mfano: tuna neno 'kama kawa' = kama kawaida. Tuendeleze vifupi vingine vya kiswahili.
1.kuw = kwa ufahamu wako
2.nnt = nilikuwa natania tu
3.akk = asante kwa kunijulisha
4.us = umenichekesha sana
5. nk nk
Hivyo vifupisho vya havitamkiki ...
Labda neno kama kawa ila hayo mengine hapana.
Lol= Lucifer Our Lord