mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Kulingana na roho yake ya kinyama na matendo yake ya kinyambilisi, yaliyochangia pakubwa kuleta simanzi kwa familia nyingi za waTz, tunapaswa kuishi na kumbukumbu ya milele kumuhusu mtu huyu.
Kuanzia sasa tunaomba mabalaa ,yote na majanga makubwa kama ukimwi, U.T.I sugu ,Kswende, Gono, ajali, tetekuwanga na polio yatambulike kwa msamiati "MAFWELE"..
Na hata msemo Mungu si Athumani, unbadilishwe na sasa uwe "Mungu si Mafwele "
Adioosss