mwehu ndama
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 2,472
- 9,542
Mkuu umesahau fistulaKulingana na roho yake ya kinyama na matendo yake ya kinyambilisi, yaliyochangia pakubwa kuleta simanzi kwa familia nyingi za waTz, tunapaswa kuishi na kumbukumbu ya milele kumuhusu mtu huyu.
Kuanzia sasa tunaomba mabalaa ,yote na majanga makubwa kama ukimwi, U.T.I sugu ,Kswende, Gono, ajali, tetekuwanga na polio yatambulike kwa msamiati "MAFWELE"..
Na hata msemo Mungu si Athumani, unbadilishwe na sasa uwe "Mungu si Mafwele "
Adioosss

Nani amfate..? Nenda weweMaombi yenu hayafiki popote pimbi nyie mfate alipo mka muue
Hivi yule aliwahi kushika wadhifa huo kweli?Sahihi...kama jina la former Mbunge wa Temeke,bwana Kihiyo
Huyu bwana Kihiyo hakuwahi kufanya kazi kwenye sekta ya Usalama na Ulinzi wa Raia ,yeye alihudumu katika Mhimili wa Bunge, kama mwakilishi wa Jimbo la Temeke, 1995-1997( kama sijakosea),ila baada ya kuona anakwenda kuvuliwa Ubunge kwa kudanganya kuhusu Elimu yake,kwamba ni Mhitimu wa Chuo cha Ufundi Dar Es-Salaam wakati sio KWELi,alitangaza kujiuzulu eti kwa changamoto za kiafya, ila kesi iliendelea na mwisho ilikuja dhihirika jamaa alikuwa KihiyoHivi yule aliwahi kushika wadhifa huo kweli?
Mi nakumbuka waliumbuana na Mrema kwenye kwenye hatua za awali katika kinyang'anyiro cha kujaza fomu.
Sina kumbukumbu iliyonyooka, waweza nisahihisha hapo.
... 'Ilikuja dhihirika jamaa alikuwa kihiyo'...Huyu bwana Kihiyo hakuwahi kufanya kazi kwenye sekta ya Usalama na Ulinzi wa Raia ,yeye alihudumu katika Mhimili wa Bunge, kama mwakilishi wa Jimbo la Temeke, 1995-1997( kama sijakosea),ila baada ya kuona anakwenda kuvuliwa Ubunge kwa kudanganya kuhusu Elimu yake,kwamba ni Mhitimu wa Chuo cha Ufundi Dar Es-Salaam wakati sio KWELi,alitangaza kujiuzulu eti kwa changamoto za kiafya, ila kesi iliendelea na mwisho ilikuja dhihirika jamaa alikuwa Kihiyo
Kwa mujibu wa sheria za nchi hii, hili lilikuwa KOSA LAJINAI, lakini kwa kuwa alikuwa mwenzao (mCCM) bwana Kihiyo hakupelekwa Mahakamani...Masuala haya ya kulindana ndani ya CCM na Serikali yake hayakuishia kwa bwana Ally Kihiyo, Bwana Masauni nae, alikutwa ndani ya chama na hatia, sio tuhuma, ya kughushi kuhusu UMRI wake,akaondolewa kwenye nafasi ya Uenyekiti UVCCM,Taifa pasipo kufikishwa Mahakamani, baada ya miaka kadhaa akachaguliwa kuwa Mbunge huko Znz , baadae akateuliwa kuwa Naibu waziri , Waziri na Sasa ndio Waziri wa Ofisi ya Makamo wa Rais, Muungano na Mazingira..CCM Oyeee