Neno MAMA LISHE kwa kingereza

Neno MAMA LISHE kwa kingereza

Hizo biashara za chakula cha magengeni za mama ntilie/lishe zipo huko kwao?

Watakua na food shack.
 
Mama lishe? Ni waitress tu.

Sehemu ambazo wao wanapata fast foods ni kama sisi tunapoenda kula ugali au wali. Zote ni restaurants in their own unique way.

Ni waitress.
 
Kiingereza kilikuja kwa meli ya mkoloni. Tohoa kwa lugha hiyohiyo
 
Nipo SA tukienda sehem za wazungu tunawaita waitress, ila huku kitaa tunawaita Vahkhu
 
Back
Top Bottom