BabuMkubwa
JF-Expert Member
- Feb 11, 2017
- 2,417
- 3,590
CorrectFood vendor
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CorrectFood vendor
Mkuu habari,Najua jamii fr ni kitivo cha wajuvi naomba kufahamishwa
Nimekusoma mkuuMkuu habari,
Kitaalamu, tunasema lugha ni zao la utamaduni. Kwa hiyo, lugha hutegemea sana utamaduni wa sehemu husika, au kwa kisukuma tunasema, Every language is culture-specific. Kwa hiyo, kabla hujauliza neno 'mama lishe' kwa kiingereza ni nini, ni lazima uongezee swali 'je, lugha zinazotumia kiingereza kama mother tongue, yaani lugha mama, kuna hao kina mama lishe?'. Kama jibu lako ni ndiyo, basi amini kuna neno hilo, lakini kama hapana, basi hakuna neno hilo. Na kama hakuna neno hilo, basi kuna wanaofanana kama mama lishe huko, hivyo wana majina yao. Ukishapata, hiyo itakuwa ni mfananisho tu (equivalent), na si maana sahihi unayoitaka. Nje kidogo na mama lishe, nikupe mfano mmoja wa nahau ya kiingereza na kiswaili ili unielewe nachokisema.
Wazungu wanasema, 'birds of feather flock together' kama nahau kwa maana ya kwamba, wanaofanana akili huungana mkono. Sasa, nahau kama hii, huwezi kuipata kwa maana ya moja kwa moja ya kiswahili, bali utatafuta nahau inayofanana maana na hiyo ili ufidishie. Mara nyingi Kiswahili tunasema, 'waarabu wa pemba hujuana kwa vilemba', na ndiyo maana sawa na birds of feather flock together.
Asante
Mkuu ulikuwa na maana hii?: Birds of the feather fly together - Ndege wafananao, huruka pamoja.Mkuu habari,

Atakua alikua na maana hiyoMkuu ulikuwa na maana hii?: Birds of the feather fly together - Ndege wafananao, huruka pamoja.
Hiyo red hebu iangalie vizuri usahihi wake, niijuavyo mimi ni BIRDS OF FEATHER FLOCK TOGETHERMkuu ulikuwa na maana hii?: Birds of the feather fly together - Ndege wafananao, huruka pamoja.
Wewe mbona hujaja na jibuKweli hii lugha ngumu, post 8 hakuna jibu!!!!!
Mkuu utapokonywa maiki. Maelezo mengi sana umempa homework jamaa ya kutafuta kama ma ntilie wapo uzunguni au laMkuu habari,