Neno 'mavuzi' limetoka wapi?

Neno 'mavuzi' limetoka wapi?

Rapunzel

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2012
Posts
1,079
Reaction score
599
Hivi hili neno limetoka wapi na kwa nini yameitwa hivyo?

Yana utofauti gani na nywele za kichwani, kama kunyoa zote zinanyoleka sasa kwa nini itofautishwe?
Kila nywele ina jina kutokana na sehemu ilipo mwilini:

Kichwani - nywele
Kidevuni - Ndevu
Mdomoni - Sharafa
Mguuni - Malaika
Kinenani - Mavuzi
 
Kiingereza,
Nywele/Hair
mavuzi/Pubic hair.
 
hahhha jamani binti nakshi umenikumbusha takriban 30 yrs ago, my mum alikuwa akifundisha primary sumbawanga. somo likiwa geografia std 5. kaingia siku hiyo kaandika ubaoni KILIMO CHA PAMBA MASWA, anashangaa wanafunzi wanacheka tuu, kumbe MASWA Kwa kifipa ni MAVUZI Hhhha. my bro ndo alikuwepo kwenye hilo darasa. hope hawakumpa hilo jina la teacher MASWA mana wanafunzi nao khaaa
 
jamani hivi hii lugha ya mavuzi imetoka wapi na kwa nini yameitwa hivyo? na je yanautofauti gani na nywele za kichwani?
kama kunyoa zote zinanyoleka sasa kwa nini itofautishwe?

Ni majina tuu wanayatofautisha kutokana na mahala yalipo. Kwanini usihoji zile za machoni kwanini zimeitwa nyusi au zile za kidevuni zimeitwa ndevu au zile za ugokoni kuitwa vinyweleo? au zile za kwapani nazo zinaitwa nywele? ninaamini zina jina lake kutokana mahala zilipo
 
nashukuru nimefahamu kwa uzuri sana ilikuwa inanichanganya kidogo
 
lilitokana na mpira wa miguu kati ya timu ya Mavu na Nyuki....basi walivyocheza mechi si Mavu wakafungwa....wacha nyuki washangilie....nyuki oyeee....mavu ziiiiii....khaaaa.....
 
Mbona haukuuliza ndevu au sharub ilhal zote ni nywele?
 
Hivi hili neno limetoka wapi na kwa nini yameitwa hivyo?

Yana utofauti gani na nywele za kichwani, kama kunyoa zote zinanyoleka sasa kwa nini itofautishwe?
[emoji102] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji144]
 
Back
Top Bottom