Kila nywele ina jina kutokana na sehemu ilipo mwilini:
Kichwani - nywele
Kidevuni - Ndevu
Mdomoni - Sharafa
Mguuni - Malaika
Kinenani - Mavuzi
jamani hivi hii lugha ya mavuzi imetoka wapi na kwa nini yameitwa hivyo? na je yanautofauti gani na nywele za kichwani?
kama kunyoa zote zinanyoleka sasa kwa nini itofautishwe?
Ni majina tuu wanayatofautisha kutokana na mahala yalipo. Kwanini usihoji zile za machoni kwanini zimeitwa nyusi au zile za kidevuni zimeitwa ndevu au zile za ugokoni kuitwa vinyweleo? au zile za kwapani nazo zinaitwa nywele? ninaamini zina jina lake kutokana mahala zilipo
Kila nywele ina jina kutokana na sehemu ilipo mwilini:
Kichwani - nywele
Kidevuni - Ndevu
Mdomoni - Sharafa
Mguuni - Malaika
Kinenani - Mavuzi
[emoji102] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji144]Hivi hili neno limetoka wapi na kwa nini yameitwa hivyo?
Yana utofauti gani na nywele za kichwani, kama kunyoa zote zinanyoleka sasa kwa nini itofautishwe?
Invites pubic mons.Kiingereza,
Nywele/Hair
mavuzi/Pubic hair.
Invites pubic mons.Kiingereza,
Nywele/Hair
mavuzi/Pubic hair.
Faradumekibantu hicho