maxime JF-Expert Member Joined Jun 3, 2016 Posts 2,231 Reaction score 1,315 Jan 14, 2017 #21 Rapunzel said: Hivi hili neno limetoka wapi na kwa nini yameitwa hivyo? Yana utofauti gani na nywele za kichwani, kama kunyoa zote zinanyoleka sasa kwa nini itofautishwe? Click to expand... Kwenge kwapa zinaitwaje??
Rapunzel said: Hivi hili neno limetoka wapi na kwa nini yameitwa hivyo? Yana utofauti gani na nywele za kichwani, kama kunyoa zote zinanyoleka sasa kwa nini itofautishwe? Click to expand... Kwenge kwapa zinaitwaje??
Squidward JF-Expert Member Joined Jul 21, 2014 Posts 7,828 Reaction score 9,546 Dec 22, 2018 #22 aisee kumbe
BoManganese JF-Expert Member Joined Jun 10, 2017 Posts 980 Reaction score 2,679 Sep 6, 2020 #23 Hilo neno vuzi au mavuzi limetokea kwenye neno la kingereza ambalo ni *fuzz* "Fuzz is a frizzy mass of hair or fibre." Kwa kiswahili ni mkusanyiko wa nywele Ndipo wabongo tukatohoa kupata neno vuzi au mavuzi
Hilo neno vuzi au mavuzi limetokea kwenye neno la kingereza ambalo ni *fuzz* "Fuzz is a frizzy mass of hair or fibre." Kwa kiswahili ni mkusanyiko wa nywele Ndipo wabongo tukatohoa kupata neno vuzi au mavuzi
Pastory Kimaryo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2018 Posts 967 Reaction score 668 Sep 6, 2020 #24 Rapunzel said: Hivi hili neno limetoka wapi na kwa nini yameitwa hivyo? Yana utofauti gani na nywele za kichwani, kama kunyoa zote zinanyoleka sasa kwa nini itofautishwe? Click to expand... Dah, hiyo malaika ndo nilikuwa siijuagi
Rapunzel said: Hivi hili neno limetoka wapi na kwa nini yameitwa hivyo? Yana utofauti gani na nywele za kichwani, kama kunyoa zote zinanyoleka sasa kwa nini itofautishwe? Click to expand... Dah, hiyo malaika ndo nilikuwa siijuagi
Mshuza2 JF-Expert Member Joined Dec 27, 2010 Posts 11,261 Reaction score 17,202 Sep 6, 2020 #25 Aisee..kumbee!